Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,475
- 7,247
Ndugu wana Jf .
Ukitafakari sana kwa kina mapenzi ya siku hizi yamekua ghali sana kuliko kawaida, kama wewe ni wakuandika gharama za hela unazo honga honga na kumtunzia mrembo wako utakuja kushtuka ni hela nyingi sana zinaenda.
Unajikuta mwamba una pisi yako mara imeumwa, mara kuitoa out, mara sijui ukitoka aout ijirembe kidogo, mara hela ya kula kaishiwa ghafla , hujakaa sawa siku anataka akupe utelezi mara gharama za lodge hiz hapa hapo bado hamjala na nauli hujaweka.
Mwamba unaona hapana acha nitafute madanga ya hapa na pale . Nayo ni hivyo hivyo gharama za utelezi zinakuwa ghali sana ukionga mara kumi kwa mwezi upewe utelezi na danga gharama ni zile zile kama ukiwa na pisi ya uhakika.
Mbaya kabisa ukitaka kuichukua pisi kwao uiweke ndani uwe unajisevia free , hiyo gharama ya kuitoa kwao utasikia mara mahari mara ukipiga shoti kati watakuambia faini ya uchafuzi mambo yamekuwa mengi sana na ni gharama mno kupata mapenzi kizazi hiki cha nyoka.
Wazazi wetu huu mfumuko wa gharama za mapenzi na nyie mlikuwa mnapitia au shida ni nini.
Kwa hali hii kweli CHAPUTA pamoja na kiongozi wao dronedrake wakiombewa watapona kweli.?