Mapenzi ya karne hii ni mzigo kwa wanaopendana

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
294
211
Katika pilika pilika zangu leo nilitoka alfajir na rafiki yangu Hussein kwenda kwenye biashara zetu.

Tuliacha kila mmoja alikwenda mitaani ndipo nimegundua ya kuwa mapenzi ya siku hzi uongo mtupu tu na nimzigo kwa wanaopendana.

Mimi ni muuza samaki wa kutembeza nyumba hadi nyumba ila leo muda wa saa 3 am nilipitaa mtaa mmoja nilichokiona kilinishangaza sana nilimkutaa shemeji yangu mke wa rafiki yangu kaolewa mwezi uliopita tu.

Mumewe ndio huyu rafiki yangu nilitoka naee asubuhi kwenda kutafuta riziki ndoo hizi biashara zetu za samaki yeye huwa anatembezea mitaa ya kiwalani mimi huwa natembezea mtaa wa nyumbani sasa .....sijajua shemu NYUMBA ya jirani anafanya nini asubuhii hiii.

JE KALALA WAPII ASUBUHII HII.
NAOMBENI USHAURII NIFANYAJEE SHEMEJI NIMEMUONA JEE NIKAMWAMBIEE RAFIKI YANGU AU...
 
Hilo.nalo.la.kuumiza na kujiuliza ufanyaje??

Watu dar bhana,wewe uza samaki zako chapa mwendo watajuana wenyewe...

Kwan wanaharibu biashara yako??
 
Ukimwambia rafiki yako utasuntwa. Tena watakuita wakiwa pamoja wakuchambe vizuri. Potezea kama hujaona kitu.

ukishindwa jaribu kubadilishana mitaa ya kuuzia samaki na rafiki yako ili ajionee mwenyewe
 
itakuwa umbea, uchune tu
 
Wanawake ndivyo walivyo sikuhizi mapenzi yamejaa usaliti balaa. Yani hata ukisema uache unaweza acha hata mademu 1000.
Tukubaliane tu hakuna anaemmiliki mwenziwe na tuliweke hilo kichwani labda itasaidia kupunguza maumivu. Akikaa bila usaliti fami lilahi, akiamua kuwa msaliti pia ahlam saalam...Huwezi muamulia mtu namna ya kuishi maisha yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…