Mapapa watatu (3) wenye asili ya Afrika waliowahi kuongoza Kanisa Katoliki

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
15,930
34,002
Juzi niliweka post nikimuelezea kwa ufupi Mtakatifu Maria Theresa. wa CALCUTTA .....maoni mengi niliyoyasoma yalikuwa yakisema ILI UWE MTAKATIFU au UPATE CHEO KIKUBWA KATIKA KANISA KATOLIKI BASI LAZIMA UWE MWEUPE YAANI USIWE MWAFRIKA

Baada ya kusoma maoni hayo hata mimi nikataka kujua je ni kweli Kanisa katoliki halijawahi kuongozwa na mtu MWEUSI/ mwenye asili ya afrika au watakatifu wote ni weupe

Baada ya kupitia pitia mitandaoni nimegundua kuna waafrika wengi wenye kuheshimika,waliopata hadhi za juu za kanisa katoliki.

Mfano... Mtakatifu Augustine I huyu alitokea Algeria ni miongon mwa wanafalsafa wakubwa kwenye kanisa katoliki na maandiko yake yameleta maendeleo makubwa ya kikanisa

Ndio maana Ukitaja wanafalsafa 5 Bora wanaotambuliwa na kanisa katoliki duniani huwezi kukosa jina la Mtakatifu Augustine wa Hippo

Hata Ukitaja Vyuo vikuu bora hapa Tanzania huwezi kuacha kukitaja chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT) na motto wa chuo hiki ni "building city of God" ( kujenga Jiji la MUNGU)
Moja ya kazi yake maarufu ya huyu Mtakatifu Augustine ni hiyo The City of God ( Jiji la MUNGU)

Tukiachana na Wanafalsafa na watakatifu wengine lakini pia kanisa katoliki limeshawahi kuongozwa na mtu mwenye asili ya kiafrika........Nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa KANISA KATOLIKI ni UPAPA

Yaan PAPA ndio kiongozi mkubwa kabisa wa kikatoliki

Lakini je unajua kuwa kama watu wenye asili ya kiafrika wameshawahi kushika wadhifa huo??

Basi hawa wafuatao ni MAPAPA WATATU waliowahi kuongoza kanisa katoliki

1) POPE VICTOR I

Huyu ndio Papa wa kwanza mwenye asili ya bara la afrika ambaye aliliongoza kanisa katoliki Kuanzia mwaka 189 hadi alipofariki mwaka 199

Papa alikuwa na asili kutoka Nchi ya Libya

PAPA Victor katika uongozi wake alifanya mambo makubwa na mengine bado yana athari hadi leo hii ikiwemo ni siku gani watu washerehekee sikukuu ya PASAKA kwa kiasi fulan misimamo, mawazo yake yamechangia kwa sikukuu ya Pasaka kusherehekewa katika siku ya Jumapili

Kwenye uongozi wake aliweza kuwakomboa wakristo walizokuwa wakifanyishwa kazi NGUMU za Kwenye Migodi huko SARDINIA

Papa wa kwanza kutumia maandishi ya kilatini na kuachana na kigiriki

2) POPE MILTIADES

Huyu ni Papa wa pili mwenye asili ya kiafrika kuliongoza kanisa katoliki...Pope Miltiades alikuwa na asili ya kaskazini mwa BARA LA AFRICA

Aliliongoza KANISA KATOLIKI kuanzia mwaka 311 hadi alipofariki mwaka 314

Katika uongozi wake ndio wakristo walipata uhuru ...kwan kabla ya hapo walikuwa wakifanyiwa hila ikiwemo kunyang'anywa Mali zao, kuvunjwa kwa makanisa yao kwa kifupi utawala wa himaya ya Roma haukuwa ukitambua ukristo kama dini

Lakini kwenye utawala wa Pope Miltiades ndio ilikuwa kipindi cha kiongozi mkuu wa himaya ya Roma alikuwa Mfalme Constantine
Mfalme huyo ndio aliupa hadhi kubwa ukristo katika himaya ya Roma

Ikiwemo kuwapa Lateran Palace ambapo kwa miaka maelfu yalikuwa ni makazi ya MAPAPA japo baadae ilihamishiwa
Nadhan tulielezea kazi alizozifanya Mfalme Constantine kwenye ule muendelezo wa Wafalme 10 wakubwa duniani

3) PAPA GELASIUS
Papa huyu alikuwa na asili ya Tunisia aliliongoza kanisa katoliki kuanzia mwaka 492 hadi 496

Papa Gelasius ni mwandishi msifika katika historia ya kanisa katoliki...uhodari wake huo umempa heshima kwa vizazi na vizazi

Katika uongozi wake palikuwa na TENSION kubwa baina ya kanisa la mashariki na kanisa la Magharibi lakini aliweza kukilinda kiti cha upapa

Papa Gelasius pia anatambulika kwa moyo wake wa kujitolea kuwasaidia wasiojiweza kufikia hatua ya kukata mapato ili yaende kuwasaidia masikini

Hao ndio MAPAPA WATATU WENYE ASILI YA KIAFRIKA WALIOWAHI KULIONGOZA KANISA KATOLIKI
NB: vitu vya kiimani ni vitu sensitive saana na makosa kidogo yanaweza kuharibu maana nzima ya jambo

Lengo langu ni kuelimisha ...Japo nimejitahid kwa kadri nilivyobarikiwa ila huenda katika kuandika kwangu nikafanya makosa basi naomba mnisamehe na kunielekeza

Imeandaliwa na bwana fact
 
Kuna uafrika kwa asili, kwa kuishi na kwa rangi. Yote kwa yote ila kwa rangi yetu ya uafrika yaani nyeusi na nyele vipilipili ndio never
 
Huko kaskazini mwa Afrika miaka hiyo unadhani walikuwa wanaishi watu weusi?
Tafiti tena Phoenicians walikuwa nani,wa wapi na rangi gani.
 
Back
Top Bottom