Mbona ka vile umechora nyani!!!Weka oda yako mapema ujipatie picha ya kuchora uitakayo kwa bei nafuu sana.Karibuni🙂View attachment 3068205
Sawaa bocc ntakaribia.ofc zipo wapNi shilingi za kitanzania elfu ishirini tu bosi na inakuwa ndani ya frame yake kwa size ya A4.0685069818 karibu🙂
Na ndio wengi wa hawa jamaa wanatumia. Nilimkamataga mmoja mlimani city siku mojaTechnology imeharibu sana kazi za watu, Kuna app wanachora picha unaweza sema ni handmade kabisa
Sasa si ungesubiri umalize uoneshe kitu kizuri mkuu?Work on progress broh ikikamilika ndio utakuwa na haki ya kuuliza hilo swali,karibu🙂