Mapambano ya rizin3 Japan

Night Watch

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
2,092
2,126
Kuna mapambano ya Rizen3 yanarushwa muda huu Azam Tv, watu wanachapana ngumi kama wanataka kuuana, ni fight kali sana zinazoendelea.

Nikawa najiuliza hawa wenzetu wana train vipi mazoezi yao, maana kwa kinachoendelea hapa sijawahi kuona fight za namna hii kwenye vitasa tunavyoona kila siku.

Hawa jamaa wapo mbele ya muda kwa kweli.
 
Back
Top Bottom