Maono: Baada ya hayo yote, akiondoka ataichoma nchi

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,293
Reaction score
3,574
Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.

Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?

Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.

Soma pia: The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul
 
Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.

Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?

Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Where is TISS. Where is the elders/old men of this lovely country Tanganyikà to decide the better some and all benefits of ours ?
 
Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.

Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?

Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Huyu mjinga hata jina lake sitaki kuliandika hapa na kikundi chake cha kigaidi alitakiwa kuwa jela mda huu,

Pili mtu mmoja japo kwa sasa ni waziri kila pahala akiwa karibu lazima mambo yaharibike, akiwa mkuu wa Mkoa wa dar mambo yarialibika sana kipindi cha jpm , uyu ni kirusi kwa nchi
 
Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.

Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?

Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Aibu kubwa sana kwa mamlaka aisee.
 
Kwa huyu shekhe mla nguruwe hutusikii vyombo vya ulinzi vikisema chcht khs yeye, Ndo tujue shekhe huyu malaya Ana mkono wa Samuya
Iwapo ameweza kufuga mbwa tena mwitu,bila shaka anafuga na pua ndefu anakula kabisa ama anawalisha mbwa anaowafuga!
 
Ww fikiria mtu anaweza kumiliki kikundi cha kigaidi kama hiko, n lazima kuwe na mkono wa mtu mkubwa serikalini
 
Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.

Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti!?

Anataka kuiharibu kesho ya Tanganyika siku akiondoka atuache kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, Mungu akamvike vazi la aibu,akamsete sete kama Mfalme wa Ashuru,hao mbwa mwitu na chui weusi anaowadhamini wakamrarue hata damu yake isifike ardhini kuchafua nchi yetu.
Tatizo lingine kubwa sio yeye tu.

Ni wanufaika, wafanyabiashara, madalali, wezi na wote wanaofaidi mema na rasilimali za Tanganyika pia wana CCM wenzetu. Kati ya hao wengine Hawana hasara. Wana mabilioni ya kuhama Nchi kikinuka.

Ila wengine ni makapuku tu mashabiki ambao kikinuka tutabanana tu hapahapa.

Tukumbuke Zimbabwe mashabiki wa Mugabe walivyomjaza upepo, mpaka afya yake ikawa hoi.
 
Ww fikiria mtu anaweza kumiliki kikundi cha kigaidi kama hiko, n lazima kuwe na mkono wa mtu mkubwa serikalini
Sio kumiliki, wamiliki wapo wengi, ila yeye anapata na nguvu tena bila soni/aibu anatoka hadharani kutambulisha. Na hajawahi kuitwa mahala popote kutoa maelezo.
 
Tatizo lingine kubwa sio yeye tu.

Ni wanufaika, wafanyabiashara, madalali, wezi na wote wanaofaidi mema na rasilimali za Tanganyika pia wana CCM wenzetu. Kati ya hao wengine Hawana hasara. Wana mabilioni ya kuhama Nchi kikinuka.

Ila wengine ni makapuku tu mashabiki ambao kikinuka tutabanana tu hapahapa.

Tukumbuke Zimbabwe mashabiki wa Mugabe walivyomjaza upepo, mpaka afya yake ikawa hoi.
Katika mazingira hayo kipo bora kuhofu ama kukata mzizi wa tatizo?
 
Back
Top Bottom