Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 15,147
- 31,683
Haya ni maoni ya Mtanzania ambaye kwa akili yangu nimemuona kama hajielewi na hajui jinsi vile hizi kodi na tozo zinavyotafunwa Kifisadi hapa Tanzania ๐๐๐๐
Hii kodi ni ndogo sana...kwa mwezi...
Nyumba ya kawaida ilitakiwa ilipie kodi ya jengo walau 5000/ kwa mwezi
Waafrika tunadhalilishwa kwa kulazimishiwa hadi u GAY kwasababu hatutaki kabisa kulipa kodi.....tunapenda sana serikali zetu ziwe omba omba
Hivi kweli jamani NYUMBA ya chini kulipa kodi 2000/= nalo ni la kulalamika?????
Tulalamikie hela zikiliwa lakini kodi ya majengo ni chini sana.
UK kodi ya jengo kwa mwezi kwa nyumba ya chumba kimoja tu ni ยฃ100 kwa mwezi sawa na shs 361,000/= ndio maana wanatujengea hadi mashimo ya vyoo kwa wanafunzi wetu sisi ambao hata shs 2000/= tu tunahamasishana kugomea๐คท๐ฟโโ๏ธ๐คท๐ฟโโ๏ธ๐คท๐ฟโโ๏ธ๐คท๐ฟโโ๏ธ
Kama kweli tunataka kuwa HURU basi tuanzie kwenye kuwa na independent budget yetu wenyewe na kweli TUFUNGE MIKANDA KULIPA KODI ZA SERIKALI NA ZA MAJIJI NA MANISPAA