Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Ukitaka kujua nguvu za mwanaume, mguse mke wake.
Tatizo ni dingi yake.Nape is Hero
Makomeo is a looser & coward
Ni kweli mkuu haijaandikwa katengua uteuzi bali imeandikwa kateua waziri kama alijiuzuru basi alifanya la maana sanaHabari wadau!
Ukisoma barua ya Ikulu inajieleza wazi kuwa rais hajatengua uteuzi bali inaonyesha rais kafanya mabadiliko kwa nafasi iliyokuwa wazi.
Hivyo nimeamini Nape alisimamia kauli zake kuwa atajiuzulu iwapo mambo yataenda nje ya ushauri wa kamati.
Hivyo nchi hii inaongozwa na mkuu wa mkoa wa dar sio kama tunavyodhani
Hata mimi nafikiria hivyo..