Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 1,853
- 3,530
Kwakweli mimi sio muombaji kifupi nimekata tamaa kabisa kwenda kwenye maombi ya aina yoyote kwasababu sioni matokeo ya wanao omba.
Matokeo yangekuwa ya kweli wala sina mengi ya kuomba zaidi ya fimbo pana na ndefu ili niweze kuchapa matatizo ya akina dada zetu wanaoteseka usiku na mchana kufikishwa juu ya mlima Kilimanjaro sijui ndo vilele vya kibo na mawenzi kama sijakosea