Panchograffix
New Member
- May 20, 2021
- 4
- 11
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nina Maadili yaliyo bora pia hofu ya Mungu nimemaliza elimu yangu ya juu katika chuo cha uhasibu Arusha mkoani Arusha, shahada ya sanyasi ya computer (Computer science na nimebobea haswa katika Networking na Graphics Designing kwa sasa naishi Mkoa wa Dar es Salaam
Ni lai yangu Ewe Mr/Mrs hutapita bila kusoma hii........... Nimepata msukumo mkubwa wa kuandika hili apa jamii forum kama sehem pekee napoweza pata msaada juu ya tatizo la Ajira...........
Ewe Mr/Mrs kwa moyo mnyenyekevu naomba msaada wako katika kupata Ajira,Kibarua au connection ya kupata ajira
Iwe inayoendana na Elimu yangu au nje ya elimu yangu nipo ridhaa kuifanya ilihali ijali maslahi mapana ya afya na utu pia iwe halali . Naomba kwa nyeyote mwenye kuguswa na hili anitafute kwa namba hii
#0785927213 normal na watsup
Pia kwa atakae hitaji CV yangu nipo ridhaa kumtumia