MANYONI: Bei elekezi ya Korosho mwezi January 2025

Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja.
Tunaendelea kuupiga mwingi.
Kazi nzuri ya kukuza Kilimo chini ya Serikali ya awamu ya 6
 
Kilo za chini kununua ni kilo ngapi, hizi unanunua unakuja kuzikoboa ama inakuwaje tupeane kidogo Mana hapa mie ni mjinga sijui chochote
 
Korosho gani inayouzwa January? au ya mwaka jana? na korosho ya kulala huwa inakuwa nyepesi sana! haiwi na uzito wa kutosha!
 
Back
Top Bottom