LGE2024 Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,104
2,636
Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024.

Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Manyara - Novemba 27, 2024


Pia, Soma:

Babati: Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amewataka wagombea kuwasilisha mapingamizi mapema
 
Back
Top Bottom