Manunuzi aliexpress posta wameniambia mpaka niwe na slp

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
 
Sio lazaima. unaweza ukatumia namba ya simu na mzigo ukifika posta watakupigia simu.
Nimeshatumia njia ya simu sana.
oooh thanks kaka nitajaza tu namba ya simu? vp kuhusu posta husika? au mpaka ukifika ndo utaambiwa umefika posta fulani?
 
Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
Mhimu ni namba ya simu, street na town/city.
Hayo mengine labda wanataka kuuza bidhaa kwa lazima.
 
posta vp kuhusu posta za mikoani mzgo ukishafika dar mpk ufike huku mikoani mfano manyara au dodoma inachukua muda gani?
 
Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
Sanduku la posta ni muhimu sababu utatumiwa kupitia hilo box.Unaweza tumia Care Of.
 
Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale usa-river arusha
Ninechukua mizigo kutokea ali express mwezi huu tuu parcel 35...Do 20 na RPD 15..zingine kwanza zilikuja na majina ya mdogo wangu na nikachukua na id yangu bila vya slip za danduku wala lolote sasa hio yako sijui umeongeaje mkuu
 
sasa ulipokelea wap?
 
sijaelewa nini kimekuchosha any way pole ...bure kafa mkuu.. Dar kufungua Ni 36700 funguo na kununua sanduku ... SLP lina thamani kubwa tofauti na tathmini zako
 
oooh thanks kaka nitajaza tu namba ya simu? vp kuhusu posta husika? au mpaka ukifika ndo utaambiwa umefika posta fulani?
Kuhusu posta husika, umesema upo Arusha right?
mzigo utafika ofisi kuu ya posta ya Arusha. hakikisha kwenye address unajaza "Arusha, Tanzania"
Then Posta ya Arusha watakupigia.
Ukienda kuchukua mzigo, posta watakupambanisha na TRA ambao wanakuwepo humo humo jingo waliopo posta. utakatwa kodi then unapewa mzigo wako.
Pia kuna ada ndogo ya kuhifadhi mzigo. ada hiyo utailipa posta.
Kwa mzigo wa kawaida ni kama sh 8,000/- hivi.
 
Ninechukua mizigo kutokea ali express mwezi huu tuu parcel 35...Do 20 na RPD 15..zingine kwanza zilikuja na majina ya mdogo wangu na nikachukua na id yangu bila vya slip za danduku wala lolote sasa hio yako sijui umeongeaje mkuu
Hawajakuchaji kodi ya hyo mizigo?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…