Manukato Kwa Wote

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249

Huo unaotoka hapo sio moshi, hiyo ni Perfume

China kila asubuhi hupita gari lenye kupulizia manukato mitaa kwa lengo la kuwafanya wananchi wajihisi vizuri na utulivu.
 
Ahahaha,harafu kidogo inakuwa haileweki,ila mitaa itasafishwa kabla ya kuipulizia hio pafyumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…