The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 389
- 1,166
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini
Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai asubuhi Kata 4 zilizokuwa na washiriki takribani 100 kama hiyo haitoshi Hadi posho stahiki ya kazi hii Maalumu na muhimu kwa Mustakabali Mpana wa kupata viongozi kuingia dosari Hali iliyosababisha manung'uniko kutoka kwa washiriki hao.
Soma Pia:
~ Waboreshaji Daftari la Kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya nauli siku za kazi licha ya tangazo la Mkurugenzi wa Tume Huru kuonesha malipo
~ Uhakikisho wa Posho za Waandikishaji wa Orodha ya Wapiga Kura karibu Halmashauri zote nchi wanahujumiwa
Waziri mwenye dhamana Mhe Mchengerwa fuatilia kwa makini Manispaa ya Temeke katika kazi Maalumu na muhimu kama hii usicheke na kima ccm utashindwa mapema sana kabla ya mwakani haiwezekani mtenge posho kwa watekelezaji wa zoezi la uchaguzi halafu wanatokea watu wachache pale manispaa kukwamisha Juhudi za Mama kurudi madarakani mwakani kwa makusudi kabisa.
Hii haikubaliki na haitakubalika Kamweeeee.
Mama Samia wanaokukwamisha ni wale unaowaamini safari hii kaza buti haswaaa
OR TAMISEMI