tatizo sio umri JZ kaoa na miaka mingapi,tatizo ni nafsi yako iko tayari kukabili majukumu,uchumi unakuruhusu,na hujue sio kila mtu kaumbwa kuwa baba au mama,kuna wengine hawaenjoy kuoa wala kuolewa wanaenjoy wakiwa single so umri sio kigezo29 bado hujapeleka Nyumbani Binti wa kuishi nae? Hongera Mkuu kwa uvumilivu wako wa kiwango cha juu sana
Ni kweli Mkuutatizo sio umri JZ kaoa na miaka mingapi,tatizo ni nafsi yako iko tayari kukabili majukumu,uchumi unakuruhusu,na hujue sio kila mtu kaumbwa kuwa baba au mama,kuna wengine hawaenjoy kuoa wala kuolewa wanaenjoy wakiwa single so umri sio kigezo
kila la kheri mkuu usiache kutualika kwenye ubecheMkuu mdukuzi nipo kwny mchakato wa mwisho,asante ni kweli nimevumilia sn