Maneno mabaya sana kwa wanandoa kuambizana

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nasikia yapo maneno ambayo ni hatari sana kwa wanandoa kuleta doa kwenye ndoa yao na hata kuhatarisha mahusianao kuvunjika.

Yamkini umo humu na uliwahi kuambiwa neno ambalo bado linakugusa sana ama lilileta athari mbaya kwenye ndoa yenu.


  1. Kwanza hukua chaguo langu.
  2. Huyo mtoto si wangu ni wako.
  3. Unaringa unadhani uko peke yako?
  4. Ongeza mengine
 
Aliniambia we mwanaume gani nikamuuliza hao watoto wa nani.kuanzia hapo anasema nimewakataa watoto! Hakika mama ndio anajua watoto ni wa nani!