E bana wanajamvi inakuwaje.
Bila kupoteza muda leo ndo siku ya mwisho za mechi zote kuchezwa kwenye ligi kuu ya mpira Uingereza.
Lakini mechi ambazo zinasubiriwa kwa hamu kuangaliwa na kufuatiliwa ni kati ya Man City vs Westham united na Arsenal vs Everton.
Man city inahitaji kushinda hii mechi hili itwae ubingwa. Arsenal inaomba Mancity ifungwe na yenyewe ishinde. Ama Mancity itoke sare mayo Arsenal ishinde kwa magoli mengi.
Wanajamvi wengi wamenifuata PM kuomba maoni yangu kuhusu mechi za leo kwasababu ya ujuzi wangu wa chambua kwa weledi ligi mbali mbali za mpira duniani hata za Haiti na CAR.
Ni hivi Mancity atafungwa leo na Arsenal na Arsenal mbahatishaji atamfunga Everton kutwaa ubingwa.
Pia Mancity atafungwa kwenye FA cup dhidi ya vibonde Manchester United.
Kwa iyo Manchester city msimu hatatwaa taji lolote.
Maghayo's brother.
Dumas the terrible EvilSpirit Chaliifrancisco MAWEED mkorea