Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,956
- 5,330
Ushindi wa Magoli 2-0 dhidi ya Manchester City umeifanya Liverpool kuongoza Ligi Kuu ya England "Premier League" kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili (Arsenal)
Matokeo hayo pia yanaifanya City chini ya Guardiola kuendelea kubaki nafasi ya Nne ikizidiwa pointi 20 na Liverpool
Mohamed Salah wa Liverpool aliyefunga Goli Moja katika mchezo huo anakuwa mchezaji wa kwanza kuhusika katika Magoli 50 msimu huu wa 2024/25 katika michuano yote, amefunga Magoli 30 na kutoa Asisti 20