Manara ana kipaji cha pekee, wanayanga tunamwamini

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
7,238
17,353
Manara ni fundi wa hizi kazi Ana kipaji cha pekee Watanganyika Kwa wivu wao wanajiinua mmoja Moja ili kumvunja moyo.

Tuache wivu, Manara ndo best spokesman katika football, Ally Kamwe hawezi kufikia level ya Manara hata robo, japo anafanya vyema.

Maadui msijifanye kumrudisha nyuma, wakati kazi yake hakuna anaeweza Fanya
 
Kama huu ujinga wa kuja na yule mdangaji ktk stage sawa. Kaharibu time management yote ya shughuli. Azam kuna muda walikatisha matangazo kuepusha maujinga yake
We huwezi kuelewa
Hilo tukio kama hujalipenda Kuna wenzako wamependa.
Wewe unataka kila unachotaka ww watu wote wafuate hicho
 
We huwezi kuelewa
Hilo tukio kama hujalipenda Kuna wenzako wamependa.
Wewe unataka kila unachotaka ww watu wote wafuate hicho
Kwahiyo Azam nao ni punguani Hadi wakakata matangazo. Ficha ujinga wako dogo
 
Mie ni mwananchi lakini uhalisia ni kwamba leo hakujaenda sawia tofauti na matarajio. Sikuona faida ya kuwa na mamc watatu, yaani interference imekuwa kubwa hata mpangilio tu wa ceremony umekaa hovyo hovyo tu. Kila mtu anaongea tu pasipo mpangilio, mara utambulisho wa wachezaji bado mnarudia vipengele mlivyosahau nyuma... In short simba walijitahidi sana, hata time management.

Mbali na hayo, Sasa usiku wote huu watu waparangane road humo na leo ni jumapili kesho kazini unategemea nini..
 
Kiukweli mashabiki wa Yanga wanaoenda uwanjani Wana moyo na uvumilivu wa chuma.

Tamasha linaendeshwa kwa ujinga na upumbavu uliovuka mipaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…