Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenuππππππ
Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01 january hii ya juzi yaani mpaka tarehe kumi tu namba na kitambulisho tayari
Wale ambao walichelewa kuchukua vitambulisho vya ukienda kuchukua unakuta kitambusho kimechakaa, kwa kwa nini wasiweke vitambulisho vya watu individual kuliko kuvichanganya kama noti, hawaoni kuwa vinasagana na kuchakaa pale wanapotafuta cha mtu?
Muda waliouweka wa kuchukua vitambulisho kwa wale wanaotumia namba ni mwezi mmoja hautoshi. Watu wako mbali sana na walikojiandikisha. Walipaswa kuweka muda mrefu ili mtu ajiandae vema kusafiri kwenda mkoa alikojiandikisha kuchukua kitambulisho chake. Ishu ni nauli kubwa kusafiri. Unakuta mtu alijiandikisha mkoani kilimanjaro akahamia mtwara kabla kitambulisho kutoka. Kutoka mtwara mpaka moshi ni shughuli pevu ndani ya mwezi mmoja