kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,708
- 6,428
Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenu๐๐๐๐๐๐
Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01 january hii ya juzi yaani mpaka tarehe kumi tu namba na kitambulisho tayari
Hongera nida hongera masauni
Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01 january hii ya juzi yaani mpaka tarehe kumi tu namba na kitambulisho tayari
Hongera nida hongera masauni