inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 594
- 637
Wadau,kulikuwa na Mamlaka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii SSRA.
Je bado ipo, mbona sisikii tena?
Je bado ipo, mbona sisikii tena?
Ife ili iweje? Watu wananunua bila kelele eg. posho, makongamano, Warsha, maonyesho, ufuatiliaji etcWadau,kulikuwa na mamlaka ya mifuko ya hifadhi ya jamii SSRA.Je bado ipo,mbona sisikii tena.