Dezoizo52
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 527
- 1,064
Katika hali isiyokuwa ya kawaida MAMLAKA ya maji safi na maji taka Lindi haijawalipa wafanyakazi wake mshahara wa mwezi wa tatu 2024.
Wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na maji taka Lindi mnamo mapema mwaka 2024 mara baada ya ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu mh Majaliwa Kasimu katika ofisi za Luwasa Lindi, na kugundua madudu na unadhirifu wa kutisha alitoa maagizo Kwa waziri wa maji na katibu mkuu kutembelea ofisi ya Luwasa Lindi Ili aongee na watumishi na kuchukua hatua.
Baada ya agizo la mh Waziri mkuu mh Majaliwa Kasimu waziri wa maji mh Aweso alikuja katika ofisi zetu za Luwasa Lindi na kutaka wafanyakazi tutoe maoni Kwa njia ya vikaratasi na tulifanya hivyo.
Mh waziri Aweso alichukua malalamiko yetu nakuahidi kufanyiwa kazi Kwa mapungufu na malalamiko yetu ikiwemo utofauti mkubwa wa mishahara na ucheleweshaji wa mishahara Kwa makusudi bila kujali kuwa sisi ni binadamu na tunawatu wanatutegemea.
Waziri Aweso hajarudi tena mamlaka ya maji Lindi na Wala hajachukua hatua zozote Kwa menejimenti licha ya malalamiko yetu yote. Bodi ya maji Lindi ilimwelekeza Waziri juu ya uozo wa menejimenti na kumuomba waziri achukue hatua, lakini hadi Sasa uozo umeongezeka na hadi Leo hatujalipwa mishahara.
Kitu kikubwa Cha ajabu ni kuona mkurugenzi wetu wa Luwasa Lindi kutumia picha katika group letu la Whatsapp la watumishi wa Luwasa picha aliopiga pamoja na waziri Aweso huko ufaransa ambako walikuwa wanatafuna pesa za mamlaka.
Nia na madhumuni ya kuandika katika jukwaa hili huru ni kuwaomba ushauri na kuwapa taarifa viongozi wa serikali Ili waweze kuchukua hatua juu ya uonevu na upendeleo anaoufanya waziri Aweso na mkurugenzi wa Luwasa Lindi.
Mkurugenzi huyu anatuhuma nyingi za kiutumishi ikiwemo kumwondoa internal auditor wa mamlaka na kumwajiri mtoto wa dada yake kama internal auditor mpya Ili amfichie madudu yake ya upigaji.
Tunaomba task force ije iwahoji kwa usiri watumishi wa mamlaka ya maji safi na maji taka Lindi Ili kufahamu uozo mkubwa uliopo.