KERO Mamlaka ya Jiji la Dar kuchelewesha mishahara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam hailipi mishahara kwa waajiriwa wake kwa wakati, kwa mfano mshahara wa mwezi May ulilipwa tar 06.0.6.24,Wa Mwezi June ulilipwa tar 02.08.24 mwezi July haujalipwa mpaka leo.

Wanaodai mshahara wanatengenezewa zengwe na kufukuzwa kazi.
 
Challyboy haoni Kama hiyo Ni changamoto.
Kwake changamoto Ni wanawake wanaosimama barabarani hata Kama wanadiskas Mambo Yao, changamoto nyingine ya chally boy Ni mikutano na maandamano ya chadema.
johnthebaptist huyu mwamba Ni homeboy wako au Ni mbena?
 
Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam hailipi mishahara kwa waajiriwa wake kwa wakati, kwa mfano mshahara wa mwezi May ulilipwa tar 06.0.6.24,Wa Mwezi June ulilipwa tar 02.08.24 mwezi July haujalipwa mpaka leo.

Wanaodai mshahara wanatengenezewa zengwe na kufukuzwa kazi.
Bandiko lina makosa kibao! Rekebisha nikuwekee mshahara kijana.
 
Back
Top Bottom