Mambo yasiyoacha watu salama

seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
546
428
Habari zenu wakuu,natumaini mna afya njema kabisa na tunaendelea vizuri na mfungo.

Sasa hapa naomba tutaje vitu vyote visivyoacha watu salama maana naona vimezidi sasa tuvimalizie hapa ili tuachane navyo.

Kwa kuanza,KUTOKUA MAKINI UKIENDESHA VIFAA VYA MOTO HAVIKUACHI SALAMA!!!!

Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…