plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,432
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume
1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho
2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika
3. Uwezo wa kuthibiti hisia. Mvulana hawezi kutawala hisia zake na anaweza kufanya matukio ya kialifu
4. Wingi wa mbegu za kiume.(hivyo acha kujichua na kula vyakula vyenye afya ili usiwe na mbegu chache)
5. Maisha yako yapo mikononi mwako, mvulana hulalamika anapoona mambo hayaendi, mwanaume utambua maisha yake yapo mkononi mwake
View: https://youtu.be/WiXagbtiViA?si=30sI-w14zqCOlwJ9