DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 342
- 292
Wana jamvi,
Rais wa awamu ya tano Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alianza kwa mhemko mkubwa mwaka 2015 na sera yake ya hapa kazi tu. Ni kitu cha wazi kwa kila mtu kuona mafinikio ya serikali ya awamu ya tano lakini ni wazi pia kwa kila mtu kuona jinsi gani nchi inavyo endeshwa kwa vitisho na unyayasaji wa upinzani na watu wengi kwa ujumla.
Nakubali kwamba kuna weza kukawa na ukiukwaji wa sheria na wapinzani kwenye shughuli zao lakini vile vile kama nchi, tuna mahakama na sheria ambazo ni muongozo katika uendeshaji wa nchi. Endapo imetokea kwamba muhusika yeyote haja fanikisha lengo lake kwa mujibu wa sheria, vyombo vya usalama vina takiwa ku mpeleka mahakamani. Baada ya hapo mtuhumiwa yeyote anatakiwa apewe nafasi ya kuji tetea kabla ya hukumu kutolewa.
Mkabala na niliyoyaeleza, yametokea mengi ndani ya miaka mitano ya Serikali ya awamu ya tano ikiwemo Tundu Lissu ku pigwa risasi 16 alipo kuwa ana elekea kwake Dodoma, Freeman mbowe kupigwa na watu wasio julikana, waandishi wa habari ku potea, vyombo vya habari ku fungiwa n.k. Ni rahisi sana kwa mtu yeyote ku mnyooshea kidole Rais kwa haya yote lakini hata kama yeye ndio yupo madarakani, lazima yeye na watu wanao mzunguka wame husika au wana fahamu ukweli wa yalio tokea kwa kiasi ki kubwa.
Kwa mfano, Ili Tundu Lissu aweze kupigwa risasi 16 lazima muhusika awe na nafasi ya ku miliki silaha zinazo weza ku sababisha jeraha hizo. Tuna fahamu wote jinsi gani ilivyo ngumu kwa mtu yeyote ku nunua, ku safirisha au ku miliki silaha Tanzania. Inabidi pia tu tafakari na kuji uliza, je kuna wana CHADEMA / wapinzani wengine ambao sio maarufu au wapo kwenye vitengo vya vijana wanao pitia mabaya kwasababu ya kuji husisha na vyama vyao vya siasa?. Ni muhimu sana kwa walio madarakani ku fahamu umuhimu wa kuto tumia nguvu na ku wekeza zaidi kwenye kutumia "logic" katika ku changanua mambo
Kingine kinacho fumbiwa macho ni jinsi gani Rais Magufuli anavyo endesha mikutano yake. Kama Rais kuna mambo mengi sana anayo sema na kufanya kwenye jukwaa yanayo weza ku sababisha mtu yeyote kusema kwamba yuko "unfit to hold office". Kama Rais huwezi kwenda kwenye jimbo lolote na kuanza kuwa fukuza watu kazi au kuwa kemea watendaji kazi kama watoto wadogo kwenye "live television". Nina hisi Rais Magufuli Magufuli pamoja na wanao mzunguka wana ona kwamba mambo kama hayo yana mpa "umaarufu" kwa watanzania lakini ki ukweli, yana potosha watanzania na ni sifa mbaya kimataifa.
Ni vyema kwamba kuna vitu vya ziada vinavyo onekana tulivyo vipata kutoka kwa serikali ya awamu ya tano lakini je vitu ambavyo havi onekani vina fanyiwa kazi?.