Mambo ya kuzingatia unapokuwa na miaka 40 au zaidi

The redemeer

JF-Expert Member
Jan 28, 2025
1,154
1,986
A. Mambo mawili ya kupima mara kwa mara:

(1) Msukumo wa damu(presha)
(2) Sukari kwenye damu

B. Mambo sita ya kupunguza kabisa kwenye chakula chako:

(1) Chumvi
(2) Sukari
(3) Vyakula vya makopo na vilivyokaa muda mrefu
(4) Nyama nyekundu kipekee ya kuchoma
(5) Bidhaa za maziwa
(6) Vyakula vyenye wanga

C. Vitu vinne vya kuongeza kwenye vyakula:

(1) Mbogamboga
(2) Maharage
(3) Matunda
(4) Karanga, korosho, macadamia, almond(nuts)

D. Mambo matatu unayotakiwa kuyasahau:

(1) Umri wako
(2) Yaliyopita
(3) Majonzi yako

E. Mambo manne ya lazima kuwa nayo, bila kujali hali yako:

(1) Marafiki wanaokupenda kweli
(2) Familia inayokujali
(3) Mawazo chanya
(4) Nyumba yenye furaha.

F. Mambo manne ya kufanya ili kuwa na afya njema:

(1) Kufunga
(2) Kutabasamu na kucheka
(3) Kutembea/mazoezi ya mwili
(4) Kupunguza uzito

G. Mambo sita ya kutofanya:

(1) Usisubiri hadi upate njaa ili ule.
(2) Usisubiri upate kiu ndio unywe maji
(3) Usisubiri upate usingizi ndio ulale.
(4) Usisubiri uchoke kabisa ndipo ulale
(5) Usisubiri uugue ndipo uende hospitalini kupima afya yako la sivyo utajutia baadae
(6) Usisubiri uwe na tatizo ndipo umwombe Mungu akusaidie

JIJALI

Utaweza kutimiza ndoto zako ukizingatia hizi dondoo na kuwaona watoto wa watoto wako.

Asante kwa kusoma na kushea 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

☆Unaposhea kontenti kama hii unawezesha watu wengi zaidi kipekee marafiki zako kufahamu jinsi ya kuwa na afya njema na maisha bora zaidi.
 
Mazoezi Muhimu sana, kazi za mikono pia kama kulima vibustani,kufagia,kufua kwa mikono,kupanda miti,migomba nk.
 
Back
Top Bottom