Mambo ya "Arachuga" ubwabwa mkubwa na Samaki ndani ya JOGOO HOUSE! !!!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,986
Shikamoo Arusha!!


 

Attachments

  • IMG_20151119_151151.jpg
    98.5 KB · Views: 274
  • IMG_20151119_151212.jpg
    90 KB · Views: 226
Hahah...Jogoo house juu hapo chini unatazama wapiga debe
 
Safi sana...

Hio bei kwa Arusha ni reasonable sana, maana ukanda huo samaki najua ni adimu..
Mtu akianzisha serious bussiness ya kuleta samaki huko anaweza kuwa miilionea ndani ya muda mfupi mno


Wamaasai wengi hawali samaki mkuu, usijeingia chaka.
 
Duh wali samaki 3500/- halafu mnasema maisha Arusha ni gharama?!
Mkuu achana na story za vijiweni, hao wanaosema Arusha maisha ni ghali hawaijui Arusha. Ukitembelea soko Kuu Arusha pale kwa wauza mboga mida ya jioni saa 12 utakutana na fungu la mchicha kwa tshs 50 na nyongeza unapata, wakati kwa Dar ni 200tshs na nyanya moja Dar kwa sasa ni Tshs200 wakati Arusha hiyo 200 unapata fungu zima. Arusha unagongewa mlango mtu anauza Maziwa wakati Dar last week nimetafuta maziwa weekend nzima kwa wafugaji majirani na sikupata ata nusu lita. Sasa utasemaje Arusha maisha magumu? Otherwise unapenda maisha ya Anasa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…