Mambo usiyoyajua kuhusu Freemason

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,302
2,015
Freemason ni neno la kingereza ukilitea kwa lugha ya kiswahili maana yake ni "Wajenzi Huru" Art ya Freemason ukisoma article 76A na 86B zinaeleza Freemason ni kikundi cha watu ambao hukusanyika na kujifunza free will ambapo ukienda Marekani na nchi zilizoendelea ukisikia mtu anajiita Freemason sio kitu cha kushangaza maana ni jambo la kawaida ila sio Afrika ukiwa na mafanikio wewe tayari ni Freemasons kitu ambacho kina ukweli katikati.

Article C136 na Z729 zinamzuia mwanachama wa Freemason kujitangaza kwa kutumia ulimi wake na mwenye kiapo cha kujiunga na Freemasons kuna maneno tunasema nitanuku " Nikatwe ulimi wangu pale nitakapo sema siri za hema " hivyo hakuna mwanachama wa Freemason anaruhusiwa kujitambulisha hadharani yeye ni Freemasons bali mwanachama wa Freemason anatakiwa kuutangaza Ufreemanson kwa kutumia kitu kinachoitwa Art of Freemason mfano chukulia Diamond platinum ndio Freemason anachofanya mwenye kila video ya mziki wake atakayo toa ni lazima avae nembo za nguo za Freemason , kuonesha kwa videole alama za Freemason au kuweka ubunifu ambao sio rahisi mtazamaji kuona na kuutambua kwa haraka ila kila atakayetazama video hiyo atavutiwa nayo maana ndani umetia Art of Freemason.

Watanzania ukisoma Kitabu cha Free Builders " chenye page 2,629 kwenye utangulizi VII na IX utaona kujiunga Freemason sio mpaka uwende kujiandikisha kwako mfano neno Facebook ≠ F inasimamamia Freemason, Google ≠ inasimamia G Geometry na kuna fedha nyingi serikali za Afrika zinaficha kutoka World Bank na Tasaf zote hizi ni misaada na miradi ya kwao na watumiaji wa Apple wakiangalia ile nembo vizuri watapata alama ya jicho (The Eye) la Freemason hivyo vitu vingi ambayo tunavitumia ni sehemu ya mali ya wajenzi HURU.

MAANA UTAJIRI WA MTU NI AKILI YAKE NA NYOTA NYOTA NYOTA NYOTA YAKE.

NYOTA NI-NINI SASA?

1: KUNANYOTA ya Iliyochomoza wakati unazaliwa. nyota ya kuzaliwa.

2: NYOTA iliyochomoza tarehe na mwezi uliozaliwa yaani nyota ya jua.

3: NYOTA iliyochomoza wakati unazaliwa Mbalamwezi ilikuwa eneo gani.

4: NYOTA iliyochomoza wakati unapewa jina lako. au nyota ya jina.

Nyota hizo zina athari kubwa katika maisha yako hasa ukitenda kinyume na matakwa ya nyota hiyo. Mfano ukifanya biashara ambayo siyo ya nyota yako, biashara hiyo itaathirika itakufa, au ukimchukua mpenzi ambaye sio wa nyota yako bila kujua, mtapendana lakini mwisho wa Mapenzi utakuwa mbaya, au ukifanya mambo ambayo nyota yako haikubaliani nayo mambo yako yatakwama na utajiona una mikosi umelogwa Tu,Nyota zinatambulika kutokana na tarehe yako ya kuzaliwa,muda na saa au kama hujui basi inafaa na ndio bora zaidi kupigia hesabu jina lako la kuzaliwa pamoja na mama mzazi kwa nini tunatumia mama mzazi kwa sababu yeye ndio ana uhakika zaidi ya kwamba wewe ni mtoto wake.

Kujiunga na Freemason sio OMBI wala siyo lazima.

Hili kujiunga FREEMASON (1) lazima upewe maelezo yenye dakika 15 kwakuongea na simu SIYO SMS KUONGEA NA SIMU, (2)Nilazima uchunguzwe nyota yako na akili yako Kwa hiyali YAKO(3) MWISHO nilazima uje kwenye Lodge za Freemason kwajiri ya siku 14.

Hatuna KAFARA ya BINADAMU KAFARA yetu ni NGO'MBE MBUZI KONDOO na NGAMIA.

Kutoa kafara ni kanuni ya Ulimwengu wa roho ambayo ipo tangu kuumbwa kwa Mbingu na Dunia.
Na kanuni hiyo haitegemei kama kuna Agano au laa, Tangu mbinguni hadi kwa adamu, hadi Kaini na Abeli, hadi kwenye agano jipya na lile agano la Kale, kanuni hiyo imeonekana kuwepo kweny
Vitabu VITAKATIFU.

Kafara yoyote ya mnyama inaondoa mikosi/balaa/mauti/kifo/magojwa/kungarisha nyota na akili ya MTU na kwenye maisha ya binadamu/Freemason aina kafara ya binadamu/MTU kafara yetu ni wanyama kama Mg’ombe MBUZ KONDOO na NGAMIA,,nahivi vitu nikwajiri ya kusafisha maisha yako hili yawe na baraka TAKATIFU.

Sadaka, Kafara, Zaka na Malimbuko ni Foundation Principles of Creation zifanyazo kazi nje au ndani ya agano. Maana hata hayo maagano yenyewe msingi wake uko katika hivyo vitu vitatu. Yaani Sadaka, Kafara na Matoleo.

Sasa Kuna aina mbali mbali za Kafara, nazo hutofautiana Ubora na Nguvu yake. Na kafara zenye ubora zaidi ni zile zinazohusisha uhai mnyama au wanyama. Na katika uhai, uhai wenye Nguvu zaidi ni ule uhai ambao unaokaa kwenye Damu, (Maana upo uhai wa Miti, na Mawe na Samaki, etc). Katika hao viumbe, Nguvu ya Kafara na thamani yake hutofautiana kutoka kiumbe hadi kiumbe na matatizo ya mtu.

Chale yoyote hile ya mganga nikafala kwa mizimu yake,maana inasusha damu YAKO.

Screenshot_20240315-154824.jpg
 
View attachment 2986506
Mbona jamaa limekaa kibwabwa bwabwa iv?
 
Back
Top Bottom