Mambo manne ya muhimu unayotakiwa kua nayo wakati wa kusajili kampuni

Luhamba II

Member
Mar 22, 2025
23
24
Kusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.

1. Namba ya NIDA
Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo wa Brela, kwahiyo taarifa ya kwanza itakayo kupa next step kwenye usajili wa Kampuni ni namba ya NIDA.

2. Passport ya kusafiria, hii ni kwa ajili ya mgeni anayetaka kusajili Kampuni Tanzania au mgeni anaye partner kusajili Kampuni Tanzania.

3. Katiba ya Kampuni
Ni lazima uwe na MEMARTS au katiba ya Kampuni, yaan memorandum of association na articles of association, hizi unaweza tengenezewa na mwanasheria.

4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.

Bila taarifa hizi huwezi kusajili Kampuni.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kwa Tips za muhimu kama hizi usiache Kuni follow.

Your Favorite Lawyer.
 
Inachukua mda gani kakamilisaha usajili na gharasma zako ni Ashill g ngapi?
 
4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.
Hapa hata ndugu, mtoto anafaa?

Naomba kujua gharama za kuandaa katiba ya kampuni.
 
Kusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.

1. Namba ya NIDA
Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo wa Brela, kwahiyo taarifa ya kwanza itakayo kupa next step kwenye usajili wa Kampuni ni namba ya NIDA.

2. Passport ya kusafiria, hii ni kwa ajili ya mgeni anayetaka kusajili Kampuni Tanzania au mgeni anaye partner kusajili Kampuni Tanzania.

3. Katiba ya Kampuni
Ni lazima uwe na MEMARTS au katiba ya Kampuni, yaan memorandum of association na articles of association, hizi unaweza tengenezewa na mwanasheria.

4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.

Bila taarifa hizi huwezi kusajili Kampuni.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kwa Tips za muhimu kama hizi usiache Kuni follow.

Your Favorite Lawyer.
Sasa ndugu mwanasheria, mbona umeukimbia Uzi badala ya kuja kujibu maswali
 
Back
Top Bottom