Jay_255
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 802
- 1,385
Nitaorodhesha kwa ufupi mambo 10 muhimu zaidi kuyajua kabla hujaagiza bidhaa kupitia app ya alibaba.
1. Usishawishike na udogo wa bei (bei chee) katika kuchagua bidhaa au supplier wa kufanya naye biashara.
2.Usichat na supplier halaf akakwambia mtoke alibaba yaani mchat whatsapp au wechat, hakikisha mawasiliano yote unayafanya kupitia alibaba tu.
3.Kuwa makini sana na supplier ambao kwenye majina yao kuna trading au trader au self business.
Mara nyingi wanakuwa ni madalali au mtu kati.
4.Hakikisha link ya malipo unatumiwa link ya alibaba na si nje ya hapo.
5.Usitishike kuhusu shipping fee utakayoiona hapo alibaba nyingi zinakuwa hazina uhalisia bali mwambie supplier wako una agent wako yupo china.
6.hili sio muhimu sana ila kama kuna option ya kuchagua supplier zaid ya mmoja uliopata angalia ambaye ana muda mrefu wa miama hapo alibaba na akiwa verified ni bora zaidi.
7.Usifanye malipo kupitia mobile payment moja kwa moja zina makato makubwa tumia debit card za benki zina unafuu wa makato.
8.Usitumie agent yoyote wa kusafirisha mzigl wako kuja Tanzania zaidi ya silent ocean au shamwaa.
9.Ni vizur ukatumia usd kwenye app wakati unafanya research zako za bidhaa itakupa uhalisia zaid kuliko kutumia Tsh. exchange rate wanayoweka haina uhalisia.
10.Kama hujawahi agiza kabisa na unataka mwongozo kuanzia mwanzo mpaka mwisho nitafute nitakusaidia mwanzo mwisho mpka unapokea mzigo wako wa kwanza. Gharama zipo
whatsapp 0754497077
Unaweza pitia uzi wangu huu nimefafanua mwanzo mpaka mwisho hatua kwa hatua kwa kina zaidi
www.jamiiforums.com

SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako
Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china. Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara. Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Kupitia uzi huu utaweza kuona bei halisi za bidhaa pamoja na kujua ni jinsi gani...