Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,693
1. Mechi ilikuwa nzuri kwa upande wetu na hasa binafsi nilifurahishwa sana na upangaji wa kikosi pale Fahdu alipomweka Awesu Awesu kucheza namba 10 na Augustine Okajepha kucheza kiungo wa juu yaani namba ila kocha alinikera mno alipomtoa Awesu Awesu wakati akiwa Bado anautaka mpira huku akipenyeza pasi za upendo kwa mtu habari kabisa Leonel Ateba Mbida
2.Kipa Camara ameanza kupoteza kujiamini Sasa kutokana na mabao aliyofungwa vs Coastal pamoja na Utopolo lakini ni Moja ya makipa Bora kabisa kuwahi kuchezea Simba.
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito mno na kama akikutana na mawinga viberenge unaweza kumkuta anamdondosha ndani ya 18 watu tukaanza kulaumiana.Apewe programu maalum ya kupunguza uzito.
4.Kiungo Augustine Okajepha anaendeleza kunikufurahisha sana na Leo ameupiga mwingi sana eneo la juu ambapo mara nyingi tunamtegemea Fernandez.
5.Kibu Dennis kwa Sasa hapa nchini hakuna kiungo wa pembeni kama yeye kama unabisha endelea kubisha, mwanaume huyu anajua boli, kwanza ana nguvu, pili ana control, akikamata mpira kuuchukua lambda uje na greda.Yanga wanajua shughuli yake, alifunga goli refa akakataa, akaangushwa kwenye penati zaidi ya mara nne refa kwa sababu naye Yuko kwenye payroll ya GMS hakuna namna
6.Ladrack Shasambi ni winga mzuri sana kwangu pengine kushindwa hata Mutale na Balua, huyu dogo pamoja na kukaa benchi muda mrefu lakini Leo amewaendesha puta sana Prisons, huyu hapaswi kukaa benchi.
7.Kocha kama ana matatizo na Awesu Awesu aseme tumwelewe maana sikuona sababu ya kumtoa Awesu wakati tulikuwa tunaona kabisa akisambaza pasi za upendo kwa Leonel Ateba, uzuri wake Awesu ni tofauti na Ahoua, Awesu hana haja ya kufungua, akikamata anamwangalia Ateba, sio Ahoua Kila mda anautaka kufungua yeye.
8.Simba hii haimtegemei mchezaji mmoja, Leo hakuwepo Ahoua Wala Fernandez na moto tumeuwasha mwanzo mwisho.
Soma Pia: Full Time Tanzania Prisons 0 - 1 Simba SC | NBC Premierleague | Sokoine Mbeya | Oktoba 22, 2024
9.Siwezi kumaliza 10 Bora yangu Bila kumtaja Leonel Ateba, mwamba huyu Yuko vizuri mno, kama akipatikana Elie Mpanzu hakika Ateba Mbida atakuwa anaokota dodo kwenye mpera.Ateba ana control, ana nguvu lakini hana watu wa kumpenyezea matokeo yake anasaka mwenyewe mwanzo mwisho, Leo alipotolewa TU Prisons wakaanza kutushambulia.
10.Kocha wetu ana matatizo makubwa kwenye sub zake, Leo tumeshinda lakini huu mchezo wa kubadilisha wachezaji ambapo Bado wanaonekana Wana msaada na wanasumbua halafu unaingia akina Mukwala na Mutale kwenda kutuudhi uwanjani, siku yoyote tutamlilia kocha huyu maana tumeona Prisons almanusura wasawazishe.