NA MILADY AYO
MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.
1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani.
2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani.
Toka amekuwa Rais amepanda ndege mara 3 tu kwenda nje ya nchi,Yaani Kenya,Uganda na Ethiopia, Rwanda alikwenda kwa gari.
3.Magufuli ananguvu za ajabu,hasa kwa wale ambao wanataka kumkwamisha mara nyingi anagundua njia hizo hata za kishirikina,mfano alipokuwa Waziri wa Ujenzi kwenye mkutano wa TAN ROAD alikataa kukalia kiti ambacho alitengewa,na baada ya mtu mwingine kukikalia akapata madhara.
4.Magufuli alikuwa anakabidhi kwenye TAASISI mbali mbali magari yote aliyokuwa akipewa akiwa Mbunge pia hakuwa na gari binafsi zaidi ya kutumia magari ya Serikali.
5.Magufuli aliwahi kuangusha nyumba ya baba mdogo yake ambaye alijenga barabarani,hakujali kuwa ni baba mdogo.
6.Magufuli anauwezo wa kukalili namba 22 kwa wakati mmoja,Craming Capacity yake iko 89%,wakati normal cramming capacity ya binadamu ni 62%.
7.Magufuli alikuwa anamsapoti sana Dr.Slaa na Kafulila maana walikuwa na upinzani wa maana,kuna muda alikuwa anampa vimemo Kafulila akomae na Escrow ambayo ilionekana ni ya utapeli.
8.Jakaya Kikwete akiwa Rais na Mh.Mizengo Pinda akiwa Waziri Mkuu walikuwa wanatupiana mpira nani amface Magufuli wakati wa kutengua baadhi ya maamuzi katika Wizara yake ya Ujenzi,ilimlazimu Mizengo Pinda kwanza akutane na Kikwete kujadili wanamuanzaje Magufuli kumueleza asibomoe jengo la TANESCO Ubungo.
9.Magufuli aliwahi kwenda Minaki High School kumwadhibu kijana wake aliyetaka kuhama kinyemela kwa kuwa alitaka Shule nyinginezo sizoso za Serikali,akipanga njama na mama yake lakini Magufuli alikataa kata kata nakusema mwanangu atasoma hapa hapa kama wengine wote wanaosoma Shule hizo za Serikali.
10.Magufuli amewahi kumchapa viboko mdogo wake huko nyumbani kwao Chato,kisa kagoma kumuoa mwanamke aliyemchumbia wakati tayari alikuwa amewachangisha michango ya harusi ndugu,jamaa na marafiki.
View attachment 1525936
Umesahau haya mengine muhimu.
11. Toka amekuwa rais kwa kubebwa na Mkapa, serikali yake imehusika na kupotea kwa watu wengi waliomkosoa kidogo tu.
12. Hana karama ya uongozi, sio msikivu yupo na hasira nyingi
13 Ni mbinafsi, mkabila, mdini, na pia anajichukulia fedha za serikali kama zake. Ana sifa ya kupendelea ndugu zake (Nepotism) hasa kwenye madaraka hata kama hawana qualifications.
15 Haeleweki....Yaani ni kigeugeu.
16 Siyo mkweli, kwa maana ya kuwa ni muongo sana.
17 Anasikiliza hearsay bila kuwa na ushahidi na anadanganyika kirahisi.
18 Hana sifa za kuwa rais..........