Mama yake na rafiki yangu simuelewi

iamriq_arthur

JF-Expert Member
May 1, 2021
421
996
Nina rafiki yangu tulifahamiana kwenye mitikasi ya utaftaji wa maisha, huyu rafiki yangu tumekua tunasaidiana mambo mengi sana.

Kuna kipindi alipata tatizo kubwa sana alijitahidi kuomba msaada kwa ndugu na rafiki zake lakini hakufanikiwa kupata msaada kwa mtu yeyote, ndipo akaamua kunitafta mimi.

Baada ya kupata taarifa kuwa amepata matatizo na nikajua kuwa msaada pekee uliobaki kwake ni mimi basi nliamua kujitoa kumsaidia kwa moyo wangu wote bila kutarajia fadhila ya aina yoyote.

Rafiki yangu huyo nyumbani kwao ni Dar es salaam, basi aliwasliana na mama yake ndio akatakiwa kwenda nyumbani kwao Dar es salaam kwaajili ya kupumzika na kujipanga upya kwaajili ya kurecover kiafya maana alikua ameandamwa na masaibu mengi sana mpaka ikafikia hatua akawa anahisi amerogwa, alimshirikisha mama yake juu ya hili swala ndipo mama ake alipotoa ushauri kuwa jamaa arudi nyumbani Dar es salaam ili ajipange upya.

Nauli ya kutoka mkoa alipokua kwenda Dar es salaam hakua nayo na ndugu zake wote hawakuwa na msaada wowote mpaka mama yake pia hakuweza kumsaidia kuhusu swala la nauri, niliamua kujitolea kumsaidia pia swala na nauri mpaka Dar es salaam tulienda ote mpaka Dar es salaam nyumbani kwao,

Kufupisha story ni kwamba jamaa kwenye familia yao amezaliwa mtoto wa kiume pekee wengie ni watoto wa kike wawili dada zake, mama ake ni single mother lakini ni wale wamama wa kisasa ambao hawataki kuzeeka bado wanataka wabaki kuwa mabinti daina (mama anaejipenda) .

Sasa baada ya kukaa pale siku kadhaa mdogo wake wa kike alizidi kuwa karibu na mimi zaidi uzalendo ulinishinda nikaamua kumkula mpaka mifupa na akakolea sana, tukawa karibu sana kila nikitaka kutoka ananiomba tutoke wote, sikuweza kuwa namkatalia.

Baada ya mwezi me nilirudi mkoani kwetu ninapoishi na kutaftia maisha. Sasa naona mama yake anazidi kutaka ukaribu na mimi, anapiga simu mpaka saa 6 usiku na anasema amenimiss anatamani kuniona tena, mara ananisifia nina moyo mzuri nilimsaidia mwanaye.

Ameefikia hatua mpaka ananisimlia maisha yake ya nyuma aliyopitia mpaka kuwazaa hao watoto wake, anajielezea mambo mengine ya ndani zaidi ambayo hata hata nashindwa kumuelewa kwanini anaamua kunielezea mimi mambo yake ya ndani ya familia yake, simu anapiga muda wowote mpaka alfajiri kabra sjaamka anapiga anasema ananijulia hari,

Najiuliza siku mwanae wa kiume ambae ni rafiki angu akija kujua hili suala la mama yake kujiachia namna hii kwangu itakuaje, na ukizingatia binti wa huyu mama nimeshasex nae kipindi nikiwa Dar es salaam, na mama naye anataka nimle itakuaje,

Naombeni ushauri endapo huyu mama akizidisha mazoea na ukaribu zaidi nifanye nini, maana me pia ni mwanaume na nina hisia pia.
 
Nina rafiki yangu tulifahamiana kwenye mitikasi ya utaftaji wa maisha, huyu rafiki yangu tumekua tunasaidiana mambo mengi sana.

Kuna kipindi alipata tatizo kubwa sana alijitahidi kuomba msaada kwa ndugu na rafiki zake lakini hakufanikiwa kupata msaada kwa mtu yeyote, ndipo akaamua kunitafta mimi.

Baada ya kupata taarifa kuwa amepata matatizo na nkajua kuwa msaada pekee uliobaki kwake ni mimi basi nliamua kujitoa kumsaidia kwa moyo wangu wote bira kutarajia fadhira ya aina yoyote.

Rafiki yangu huyo nyumbani kwao ni Dar es salaam, basi aliwasliana na mama yake ndio akatakiwa kwenda nyumbani kwao Dar es salaam kwaajiri ya kupumzika na kujipanga upya kwaajiri ya kurecover kiafya maana alikua ameandamwa na masaibu mengi sana mpaka ikafikia hatua akawa anahisi amerogwa, alimshirikisha mama yake juu ya hili swala ndipo mama ake alipotoa ushauri kuwa jamaa arudi nyumbani Dar es salaam ili ajipange upya.

Nauri ya kutoka mkoa alipokua kwenda Dar es salaam hakua nayo na ndugu zake ote hawakua na msaada wowote mpaka mama yake pia hakuweza kumsaidia kuhusu swala la nauri, niliamua kujitolea kumsaidia pia swala na nauri mpaka Dar es salaam tulienda ote mpaka Dar es salaam nyumbani kwao,

Kufupisha story ni kwamba jamaa kwenye familia yao amezaliwa mtoto wa kiume pekee wengie ni watoto wa kike wawili dada zake, mama ake ni single mother lakini ni wale wamama wa kisasa ambao hawataki kuzeeka bado wanataka wabaki kuwa mabinti daina (mama anaejipenda) .

Sasa baada ya kukaa pale siku kadhaa mdogo wake wa kike alizidi kuwa karibu na mimi zaidi uzarendo ulinishinda nikaamua kumkula mpaka mifupa na akakorea sana, tukawa karibu sana kila nkitaka kutoka ananiomba tutoke ote, skuweza kuwa namkatalia.

Baada ya mwezi me nilirudi mkoani kwetu ninapoishi na kutaftia maisha,
Sasa naona mama yake anazidi kutaka ukaribu na mimi, anapiga siku mpaka saa 6 usiku na anasema amenimiss anatamani kuniona tena, mara ananisifia nina moyo mzuri nilimsaidia mwanae,

Ameefikia hatua mpaka ananisimlia maisha yake ya nyuma aliyopitia mpaka kuwazaa hao watoto wake, anajielezea mambo mengine ya ndani zaidi ambayo hata hata nashindwa kumuelewa kwanini anaamua kunielezea mimi mambo yake ya ndani ya familia yake, simu anapiga muda wowote mpaka alfajiri kabra sjaamka anapiga anasema ananijulia hari,

Najiuliza siku mwanae wa kiume ambae ni rafiki angu akija kujua hili swala la mama yake kujiachia namna hii kwangu itakuaje, na ukizingatia binti wa huyu mama nimeshasex nae kipindi nikiwa Dar es salaam, na mama nae anataka nimle itakuaje,

Matumizi ya R na L imekua changamoto sana
 
Pita nae tena Mkandamize nao Wote.
 
Nauri-nauli
Uzarendo-uzalendo
Akakorea-akakolea
Hari-hali
Ote-wote
Kabra-kabla

Small habits leads to big changes
(small mistakes leads to big consequences)
Nukta.
 
Kijana kwanza kabisa jifunze kuandika vizuri.

Unaandika kama bata nayeharisha.

Anyways, nakushauri kuwa na moyo mkuu mwambie huyo mama unajisikia vibaya akikutamkia maneno kwa mfano "I miss you" au ya aina hiyo.

Mwambie afahamu unamheshimu lakini hupendezwi na maneno anayoyatumia kwenye maongezi yenu lakipi pia usingependa akupigie simu usiku.

Acha kuwa kijana wa hovyo.

Onyesha uanaume wako kwa kusema na kufuata kile unachokiamini.
 
Back
Top Bottom