KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 865
Matthew 7:15"Beware of the false prophets, who come to you in sheep's clothing, but inwardly are ravenous wolves. 16"You will know them by their fruits. Grapes are not gathered from thorn bushes nor figs from thistles, are they? 17"So every good tree bears good fruit, but the bad tree bears bad fruit.
Kemeenianapepolanjaayamali atosheki
Kemeenianapepolanjaayamali atosheki
watu8 ulichosema ni kweli na kama kuna idara inaongoza kwa kesi nyingi basi ni ardhiPamoja na watu kumponda na kumtukana huyo mama lakini lazima tukubali kuwa nchi yetu haina sera nzuri ya makazi...
Matatizo kama haya ya ardhi si aghalabu kuyapata mahali hadi mahali ndani ya nchi yetu na ndio chanzo cha makazi holela...
Kuna watu wananunua maeneo makubwa na wanashindwa kuyaendeleza, baadaye yanavamiwa na wenye shida za makazi na kuzua zogo...
Maeneo mengine hayafai hata kwa makazi lakini ndio wapata watu wamejenga holela...
Kwa jinsi nnavyomfahamu Mama Rwakatale ni mtu mwema sana, Mungu akubariki akulinde zaidi na zaidi
Huyu mama hafai kuwa kiongozi wa umma wala wa dini sijui walimchagua kwa vigezo gani.nimefuatilia mambo yake Mara alitapeli vi wanja vya mjane sijui Ni mbezi beach ilikua Ile Kama sikosei.wajirekebishe kwa nafasi walizonazo katika jamii haya mambo Si mazuri kutajwa tajwa kwa sifa mbaya hata kidogo.