MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
maneno tu mkuu, mimi na wife tunafanya kazi 1, na tunalingana mpaka cheo adi mshahara ni mtu kujielewa tu.Habarini wa JF.
Napenda kubadilishana uelewa juu ya dhana ya kuoa mwanamke mnayelingana nae uwezo (kikazi) mfano;daktari kwa daktari na teacher kwa teacher.
Je,kuna uhalisia wowote kuwa Mara nyingi mke anakuwa hana heshima na uthamini kwako???
Maana hiyo ni kauli niliyosikia mzazi akimwambia mwanae ambaye ni daktari ambaye ana mchumba daktari pia kuwa"Mwanangu usioe mwanamke unayelingana nae hadhi kimaisha,ni bora uoe mwalimu wa shule ya msingi"
Kibinafsi ushauri ule huwa unajirudia kichwani japo mlengwa ckuwa Mimi.
Note:Nionavyo walimu wa shule za msingi wanaweza kuwa na nafasi kubwa kuolewa kwa kuwa wao muda mwingi watakuwa krbu na familia yake!
Karibuni mnifungue macho,kwa wenye uzoefu na hilo!!
Unaua inzi kwa rungu juu ya meza YA kiooTukufungue machobya nn wakati mama yako ameshakupa maelekezo
Inawezekana bi mkubwa anahofia itakavyokuwa ikitokea wote wako shift ya usiku nani atabaki na familia? Ila kwa maana ya kipato sio issue, suala ni kujielewa na kujitambua tu hapo.Habarini wa JF.
Napenda kubadilishana uelewa juu ya dhana ya kuoa mwanamke mnayelingana nae uwezo (kikazi) mfano;daktari kwa daktari na teacher kwa teacher.
Je,kuna uhalisia wowote kuwa Mara nyingi mke anakuwa hana heshima na uthamini kwako???
Maana hiyo ni kauli niliyosikia mzazi akimwambia mwanae ambaye ni daktari ambaye ana mchumba daktari pia kuwa"Mwanangu usioe mwanamke unayelingana nae hadhi kimaisha,ni bora uoe mwalimu wa shule ya msingi"
Kibinafsi ushauri ule huwa unajirudia kichwani japo mlengwa ckuwa Mimi.
Note:Nionavyo walimu wa shule za msingi wanaweza kuwa na nafasi kubwa kuolewa kwa kuwa wao muda mwingi watakuwa krbu na familia yake!
Karibuni mnifungue macho,kwa wenye uzoefu na hilo!!
Nn tena mkuummmh!
Sawa mkuu nimekuelewa!!maneno tu mkuu, mimi na wife tunafanya kazi 1, na tunalingana mpaka cheo adi mshahara ni mtu kujielewa tu.
Alitoa ushauri lkn si maelekezoTukufungue machobya nn wakati mama yako ameshakupa maelekezo
Huwezi amini!!wengi wa madaktari wanafunzi niliokaribu nao wanawawazia hao Walimu Wa primary.Dah walimu wakike ingekuwa nibidhaa sokoni nahisi soko lao lingekuwa kubwa mno!
Kama mwili uko vzur hauwezi kukimbia kuoa,labda uwe mzinzi maisha yko yotecha muhimu ni kutokuoa kabisa, utaishi maisha marefu yasiyo na stress
Dah hongera yao walimuHuwezi amini!!wengi wa madaktari wanafunzi niliokaribu nao wanawawazia hao Walimu Wa primary.
Mtu unasisitizwa uoe nyumbani.Mi niliambiwa nisioe Mchaga na Mrangi.