Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 239
- 283
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu?
Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara.
Mfano taarifa za likizo ya Mwezi Desemba 2024 zilianza kukusanywa tangu mwezi Septemba 2024 lakini likizo iliisha 06/01/2025 hakuna aliyelipwa.
Baadaye ndipo watu wakaanza kulipwa, baadhi wakiwa hawajalipwa mpaka, tunajiuliza hizi pesa za nauli ya likizo zinakuwa na maana gani kwa mtumishi anayeenda likizo?
Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi na Viongozi wengine mnatusaidia vipi ili kuondoa uzembe huu?