Malipo ya king'amuzi cha Azam

bujaganoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
561
453
Jamani habarini
Nimelipia Kingamuzi cha Azam hapa kwa bei ya 12000 kwa njia ya MPesa, lakini naona wamekaa kimya, au kifurushi kile wamekifuta?
 
Jamani habarini
Nimelipia Kingamuzi cha Azam hapa kwa bei ya 12000 kwa njia ya MPesa, lakini naona wamekaa kimya, au kifurushi kile wamekifuta?
Wameongeza 3000/= kila kifurushi, ongeza 3000/ kisha wapigie watakufungulia
 
Actual wamelazimisha kupata kile kifurushi cha sports hd ukipate kwa 3000 pamoja na kifurushi chako cha awali badala ya kukulipia kwa 15,000 kikiwa separate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…