Malipo ni hapa hapa duniani yamenikuta

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
650
712
Habari zenu wadau bila shaka mko poa,,
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,,
Nilikua na tabia mbaya sana kwa marafiki zangu bila kujali maumivu wanayopata moyoni ,,,
rafiki akinitambulisha demu wake Leo kesho namfuata kumtongoza hio ilikua tabia yangu wala skujali maumivu wanayopata rafiki zangu
kweli hakuna marefu yasio na ncha ,,hii inaniuma mkuki huu umepenya kwenye mfupa nahisi maumivu makali weekend hii,,
mungu amenionyesha maisha yanavyokwenda na nimejifunza,
namkumbuka rafiki yangu mkubwa ambae sasa hivi yupo Nairobi tuligombana kwa kufanya udhalimu kwenye mahusiano yake ilimuuma lkn skujali
Leo nimeumia zaidi yao roho yangu inamaumivu kiasi cha kufa,,
Rafiki niliemuamini Leo kafanya kama Mimi nilivyokua nafanya
nimemkuta kwa macho yangu na demu Wangu ,,oooooh inaumaaaaaa sana ngoja nivute subira inawezekana naota
 
Hahaha eti yawezekana unaota..chukua whiskey kata maini kidogo ulalee.,ngoma droo hio
 
what goes around comes around...Maisha bwana mmmhhh
 
What Goes around Comes Around. You do good, You will get good in return. Always be Helpful

Badilika sasa utende mazuri. Ila nawe utendewe mazuri.
 
What Goes around Comes Around. You do good, You will get good in return. Always be Helpful

Badilika sasa utende mazuri. Ila nawe utendewe mazuri.
Nahisi maumivu makali mnoo kweli rafiki zangu waliumia sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…