KERO Malamiko ya wagonjwa Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

F I RITTE

Senior Member
Nov 7, 2024
100
118
Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam.

Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo.

Tusikilize baadhi ya wagonjwa akiwemo mama huyu mgonjwa ambaye amefika hospitalini hapo kwa ajili ya kupata huduma toka asubuhi ya saa 12 hadi sasa saa 7:10 mchana na kushindwa kwenda kufanya shughuli za kujiletea maendeleo.
 
Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam.

Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma zitolewazo hospitalini hapo.

Tusikilize baadhi ya malalamiko ya mama huyu mgonjwa ambaye amefika hospitalini hapo kupata huduma tokea asubuhi ya saa 12 hadi sasa saa 7:10 mchana.
mbona saa saba na dk 10 haijafika?
 
Kwamba "..Mimi sio kama yule Simba wa Yuda..."
Subiri uone matokeo ya kuwachekea Kenge!
 
Nikiwa Kama mdau wa afya mwandamizi senior Yaan, kusema ule ukweli pale Kuna shida kwa kweli japo ni hospital nzurii sanaa kihuduma.

Ila Kuna watu wengi Sana yaan Kuna muda mpaka watoa huduma unawaulumia maana ni binadamu kusema kweli pale Kuna changamoto Sanaa
 
Back
Top Bottom