KERO Malalamiko yangu dhidi ya NMB bank

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,175
1,587
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja

Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb kwenda mtandao wa simu kupitia lipa mkononi muamala wa mwisho nimefanya jumamomosi saa moja hasubuhi ule muamala unasema "inprogress" mpaka saivi hiyo jumamosi nikawapigia wakasema wana refund pesa but mpk leo muamala upo inprogress

Sasa nimewaza kitu miamala mingapi watu wanapitia changamoto kama hii imagine ku refund pesa tangu Jumamosi mpaka saivi bado hao ma IT wao wamesomea wapi? Ni zoezi gumu hivyo?

Hili sio tatizo la kwanza unaweza kuamka siku ukakuta kupitia app yao hauwezi kulipa kwenda kwenye mtandao wa simu ila kutuma inakubali na wakiwa na tatizo hawalitatu kwa haraka

Binafsi nishasababushiwa hasara mala nyingi mpka nagombana na wateja imefikia hatua mtu akisema nakulipa kupitia nmb naogopa nakuwa sina uwakika na hiyo hela

Nmb wanapaswa kujitafakari
 
NMB ni bank ya kishamba sana, huona raha kuona watu wamejaa bank wengine wamekaa chini. Kuna zoezi lao la kuhakiki account, mbona benk zingine halipo?
 
Back
Top Bottom