LINGWAMBA
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 484
- 1,214
Hii barua ya wazi kwa Waziri Mkuu tulikupa malalamiko kuhusu kitengo cha biashara Manispaa ya Ilala ucheleweshaji wa leseni sasa hivi kuna mfumo wa Tausi kwaajili ya kuomba leseni lakini hayo maombi yanapitiwa na maofisa ndio control namba itoke.
Cha kusikitisha unatuma maombi online yanakaa hata miezi bila kupitiwa, ukienda ofisini kwao wanakupa karatasi uandike TIN namba wanakwambia uondoke lakini hali ni ile ile.
Mbona Manispaa nyingne hazipo hivyo? Kinondoni nusu saa tu umepata control namba au ndio wanaleta mazingira ya rushwa?