Malalamiko ya Dreva wa Bajaji: Naniino Imeshuka bei sana

BabaTina

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
429
576
Nipo kwenye kibajaji natokea Mitaa ya Mwenge naelekea Riverside, Dreva wa bajaji analalamika sana kwamba Dadazetu siku bidhaa yao imeshuka sana bei yaani analalama akidai kuwa imekuwa kitu ya bure kabisa...

Anatolea mfano mabinti kadhaa aliowachota mitaa ya mlimani city mall, anadai wengi wanaelekea hapo hawana shughuli ya maana zaidi ya kuuza nyago mwisho wa siku wakikosa wateja wao madereba wa boda ujichotea kiulaini sana.

On top of that, anakandimizia takwimu kuwa katika mkesha wa mwaka mpya alisikia taarifa toka vyombo vya habari kati ya watoto 14 waliozaliwa no watoto 3 pekee ndio walikuwa wakiume na hivyo kujihakikishia kuwa viumbe hawa wataendelea kushuka sana bei kama hali itaendelea kuwa hivi!

Akiteta kwa kigugumizi anadai hana kumbukumbu sahihi ya papuchi ngapi za bure kapiga zote zikitokea pale Mliman city....

Yanakweli haya...!? Nililazimika kumphoto kimgongo mgongo na kuambatanisha image yake hapa
 

Attachments

  • 1451844006343.jpg
    22.8 KB · Views: 60
Last edited by a moderator:
Huu uzi mzuri sana acha nitege niufuatilie kwa umakini wa hali ya juu
 
Mola tuokoe.
kwenye hii kitu inampa sana mola wakati mgumu. Vichwa vyetu ni vigumu mno. Kajaribu kuviwekea muonekano au sura mbaya lakin hapo hapo wadau wanalamba nakunyonya. Inabidi atafute mbadala
 
Lengo la uzi huu ni nini?

Je ni kutaka kuhakikisha uliyoyasikia ni kweli?

Au unataka kuufahamisha uma kuwa hata wakienda mliman city dada poa wapo?

Au unatahadhalisha jamii kuhusu mlimani city?

??????
 
Juzi nilikuwa calabash na katalunya nikakutana na totoz hatari hadi nikaogopa jamaa yangu akaniambia kuwa hapo hamna kitu wapigaji tu na kweli bwana siku hiyo hiyo kuna mshkaji kamgegeda mmoja kwenye gari
 
Kila mahali wapo. Mpaka huruma. Jana nilikuwa najitokea town, kwenye daladala wakati nipo busy na simu yangu. Mwanamke mdogo ki muonekane ila mzuri sana, nikasikia ananiambia naomba elfu2. Nikamuangalia sikusema kitu nikatoa elfu kumi nikampa. Baada ya muda akasema naomba number yako. Nikatabasamu na kukataa...
 
Wacha wee
 
Teh Teh Teh Teh ungempa namba zangu
 
We ni matata.
 
watu mnapata fursa za kibwererebwerere lakin hamzitumii ipasavyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…