Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,173
- 16,788
Droo ya kupanga makundi fainali za Afcon 2023 zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwakani itafanyika Oktoba 12 na Tanzania ipo katika pot 4 na timu za Guinea Bissau, Msumbuji, Namibia, Angola na Gambia ambazo hatokutana nazo.
Wapinzani wa Tanzania katika hatua ya makundi watatoka katika Pot 1, 2 na 3 (kila pot timu moja) na pot hizo ni
• POT 1 Ivory Coast, Morocco, Senegal, Tunisia, Algeria, Misri
• POT 2 Nigeria, Cameroon, Mali, Burkina Faso, Ghana, DR Congo.
• POT 3 Afrika Kusini, Cape Verde, Guinea, Zambia, Equatorial Guinea, Mauritania.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa