Makumbusho ya Taifa kwanini hamna michezo ya watoto na mgahawa

mrsmaiko

Member
May 17, 2024
15
12
Mwanangu juzi amekuja kiziara makumbusho ya taifa hapo, jioni namuuliza jinsi tour yake kama aliienjoy. Kasema hivi na hivi, kaniambia sijui kaona samak sijui vipi

Swali langu kwenu kwanini hamuweki michezo kama pembea, seesaw, trampoline, or mgahawa. Pale kila nikipita naona watoto wamejaa ila sioni michezo, so how mtoto wa kindergarten akae kusikiliza historia tu bila kucheza?

Kwani michezo sh ngap? Au ndio mpaka bajeti? Mgahawa nao?

Mwanangu kaja ila hajacheza.ina mana tukilipa ziara hizo wakija wakiona ona yale magari ndio bas hela imeisha?
 
Pale hata mim huwa sipaelewi elewi ,mpangilio wa mle haupo vizuri, tukifanya comparison unakuta zile info hazipo update au lights setting,muhimu watoto wacheze
 
Back
Top Bottom