Makubaliano ya Tanzania na Japan kutumia local currency kuagiza bidhaa Japan yameanza?

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
5,395
11,115
Tanzania na Japan kuna wakati tuliambiwa kuwa biashara kati ya Japan na Tanzania hazitatumia dola tena tutatumia tu pesa zetu madafu kuagiza Japan na Japan wakitaka chochote kwetu watatulipa kwa hels yao ya Yen

Je huo utaratibu umeshaanza?

Jamii Forums mtusaidie ku check hilo kuulizia wizara ya fedha sababu kwa sasa dola ni kama hamna mtu akitaka kuagiza kitu Japan kama bidhaa au huduma

Au kama kuna yeyote humu mwenye ufahamu wa hilo atusaidie
 
Hapana walisema account ya Yen itafunguliwa Tanzania ns Account ya shillingi za Tanzania itafunguliwa japan

Kuwa tutalipana kila mtu kwa pesa yake

Ndio nataka kujua je huo mfumo wa kuagiza bidhaa japan kwa pesa za Tanzania Japan umeshashaanza?
Hakuna huo utaratibu
 
Hiyo inahitaji commitment na utashi wa benki kuu ya Tanzania kama inataka hivyo na kama imeweka utaratibu huo.
Kimsingi inawezekana kufanyika, lakini kwa watu wetu wa mambo ya fedha na malipo, wako tayari kuacha kulihijumu taifa hili?
 
Hapana walisema account ya Yen itafunguliwa Tanzania ns Account ya shillingi za Tanzania itafunguliwa japan

Kuwa tutalipana kila mtu kwa pesa yake

Ndio nataka kujua je huo mfumo wa kuagiza bidhaa japan kwa pesa za Tanzania Japan umeshashaanza?
Japan ndio walisema hivyo, au hii serekali ya matapeli? Chanzo cha uhakika kilipaswa kuwa serekali ya Japan, kama sio serekali ya Japan iliyosema hivyo, nakushauri epuka matapeli.
 
Tanzania na Japan kuna wakati tuliambiwa kuwa biashara kati ya Japan na Tanzania hazitatumia dola tena tutatumia tu pesa zetu madafu kuagiza Japan na Japan wakitaka chochote kwetu watatulipa kwa hels yao ya Yen
Waje wachukuwe chuma Liganga
 
Tanzania na Japan kuna wakati tuliambiwa kuwa biashara kati ya Japan na Tanzania hazitatumia dola tena tutatumia tu pesa zetu madafu kuagiza Japan na Japan wakitaka chochote kwetu watatulipa kwa hels yao ya Yen

Je huo utaratibu umeshaanza?

Jamii Forums mtusaidie ku check hilo kuulizia wizara ya fedha sababu kwa sasa dola ni kama hamna mtu akitaka kuagiza kitu Japan kama bidhaa au huduma

Au kama kuna yeyote humu mwenye ufahamu wa hilo atusaidie
Japan mshirika mkuu wa marekani hawezi kupokea shilingi ya tanzania kwa kuuza bidhaa. Hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ni kinyume cha matakwa ya marekani. Japani si nchi huru kabisa marekani ndio inafanya maamuzi kuhusu mambo ya kimsingi ya kiuchumi na mahusiano na nchi nyingine ya nchi hiyo.
 
Hapana walisema account ya Yen itafunguliwa Tanzania ns Account ya shillingi za Tanzania itafunguliwa japan

Kuwa tutalipana kila mtu kwa pesa yake

Ndio nataka kujua je huo mfumo wa kuagiza bidhaa japan kwa pesa za Tanzania Japan umeshashaanza?
Thubutu.... Haya madafu waende nayo wapi
 
Hapana walisema account ya Yen itafunguliwa Tanzania ns Account ya shillingi za Tanzania itafunguliwa japan

Kuwa tutalipana kila mtu kwa pesa yake

Ndio nataka kujua je huo mfumo wa kuagiza bidhaa japan kwa pesa za Tanzania Japan umeshashaanza?
Utakua unaota aisee😂
 
Utakua unaota aisee😂
Kwenye vitu serious vizuri kuwa serious

Anyway niwaombe waandishi wa habari wafuatilie hilo swala kwa waziri wa fedha

Nisifu Waziri Gwajima hu respond haraka sana issue serious za jamii forums zinazoangukia kwenye wizara yake latest lilikuwa swala la yule ambaye alitelekezwa na mke mtarajiwa Rukwa

Waziri wa fedha ajibu hili mada nimeleta au vinginevyo waandishi wa habari waende kuhoji Awe Millard Ayo ,Jamii forums,Gazeti la the Citizen na Crown TV ambao kwa sasa ndio binafsi naona ndio very serious Journalists wa viwango vya juu wamuulize waziri wa fedha kuhusu hili la mada nimeleta

Wewe kaa pembeni upeo wako mdogo na huko current na serious issues hata kama uko serikalini au taasisi zake you are hopeless

Tuachie tulio current mitaani tuulize wewe kaa na ubwege wako huko ofisi za serikali au taasisi

After all nalenga hoja kwa waziri wa fedha sio kwako wewe umeajiriwa kwa vimemo wakati kichwani hamna kitu
 
Umepanic bure tu, Ila kusema waziri awe anajibu kila hoja utakua unajilisha tu upepo
Maana kesho watakuja wanaonunua mizigo China nao waulize kuhusu kununua kwa Yuan badala ya dola
Kesho kutwa wanaonunua bidhaa South Africa nao watauliza kuhusu kununua kwa Tshs na Rand
Kesho kutwa tena watauliza wanaonunua bidhaa Dubai kuhusu kutumia Dirham na Tshs

Huyo waziri atakua hana kazi zingine Sasa. Ulipaswa kwanza ujue kwa nn inatumika dollar kabla ya kuwaza hayo yote
 
Huelewi kitu hayo kwenye hayo ya MOU sio kuwa watu walipiga kelele ni makubaliano ya serikali na serikali hakuna mtu aliyeomba kuwa tunaomba tutumie local currency sababu mwananchi awe wa japani au Tanzania hahusiki kutengeneza pesa wala ku control pesa kati ya nchi na nchi

Wewe unaleta siasa utafikiri kama wafanyabiashara wanunua bidhaa Japan ndio waliomba hilo una upeo mdogo mno
Hakuna mwananchi wala mbunge aliomba hilo

Kuna vitu serikali kwa serikali huongea kimojawapo ni hicho mada nimeleta
Siyo kwamba mimi baada ya kuandika na wewe ndio akili inaamka ohhh basi na wengine unajitia ujuaji

Ndio maana kichwa kama hakijaamka unasubiri wenye akili zetu tulianzishe ndio akili yako iamke ujue huna akili

Tulia hili lipate jibu ujuaji wako kalale nao subiri wenye akili zetu original zisizoamka baada ya mtu kuanzisha mada tushughulike nalo wewe na ujinga wako wa dollar baki nao huko huko bwege wewe
 
Huelewi kitu hayo kwenye hayo ya MOU sio kuwa watu walipiga kelele ni makubaliano ya serikali na serikali hakuna mtu aliyeomba kuwa tunaomba tutumie local currency sababu mwananchi awe wa japani au Tanzania hshusiki kutengeneza pesa wala ku control pesa kati ya nchi na nchi

Wewe unaleta siasa utafikiri kama wafanyabiashara wanunua bidhaa Japan ndio waliomba hilo una upeo mdogo mno
Hakuna mwananchi wala mbunge aliomba hilo

Kuna vitu serikali kwa serikali huongea kimojawapo ni hicho mada nimeleta
Siyo kwamba mimi baada ya kuandika na wewe ndio akili inaamka ohhh basi na wengine unajitia ujuaji

Ndio maana kichwa kama hakijaamka unasubiri wenye akili zetu tulianzishe ndio akili yako iamke ujue huna akili

Tulia hili lipate jibu ujuaji wako kalale nao subiri wenye akili zetu original zisizoamka baada ya mtu kuanzisha mada tushughulike nalo wewe na ujinga wako wa dollar baki nao huko huko bwege wewe
Walisaini MoU?
Huenda hukuelewa kilichokua kinazungumziwa.

Hii habari umeitoa wapi maana naamini kuna namna hukuelewa. Weka link ya hii habari kutoka media yoyote
 
Hakuna nchi yoyote iliyoendelea itachikua pesa ya Tanzania haipo, labda in small scale. Uchumi wa Afrika ni wakijanja janja. Ukifanya hivyo watu wanaprint more paper wanakupa uhangaike nayo.
Unaudharau uchumi wa afrika wakati hizo nchi zilizoendelea Zina survive kwa uchumi wa afrika huyo mjapani mwenyewe asilimia 99 ya magari yake chakavu anauza afrika.hapo sijaongelea magari mapya. Mkiambiwa miafrika ni majinga mnakasirika .
 
Back
Top Bottom