KERO Makongolosi Chunya Mbeya mji unaoongoza kwa utupaji holela wa Takataka na mamlaka zipo zimetulia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
762
1,582
Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea.

Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
 
Makongolosi..
Huu Mji sasa inabidi ushushwe hadhi usiwe "Mamlaka ya Mji Mdogo"
Kiwe ni Kijiji kichafu tu
 
Mada imerudiwa, kwani hakuna mabadiliko?
 
Kwani hakuna mabadiliko?
 
Kwani hakuna mabadiliko?
Ndio imezidi mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom