Shuleni aliibia majibu akapiga bashite, akanunua cheti wamemtambua kumbe na kujenga hoja aliiba kwa Zitto?Mkuu wa Mkoa wa Dsm, Paul Makonda akiwa kwenye interview amesema Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT) ndiye Mbunge anayemsaidia kuelewa siasa.
Afafanua kuwa, Zitto anajua kujenga hoja za kuiyumbisha serikali hasa kwenye kusimamia mambo mbalimbali yenye maslahi ya kitaifa.
sio kila mpinzani ni CHADEMA wengine ni chaumaKwa hiyo vijana wa CHADEMA mnajivunia kwa hilo
Hapana mkuu hiyo kitambo sana, wala siyo ya leoHiyo ni charm offensive kumlainisha Zitto asimsulubu bungeni!
Makonda akitaka kitu kwa mtu anajua kweli kumsifia, Zamani aliwasifia Nape na Kinana, Then akawa anamsifia JPM sana, Sasa kaona Mziki wa bungeni unamsubiri kaanza kuwasifia kina Zitto!
Zitto usidanganyike, mpe za ukweli huyu kijana!